Ninakukaribisha utazame Video hii, ambayo ni Shukrani kwa MUNGU kwa kutuwezesha kukamilisha ujenzi wa Kanisa la Parokia ya Mt. Yohane Paul II - Mwanzugi.
Wimbo: Tumeweza Kulijenga
Waimbaji : Friends of John Paul II - Mwanzugi
Audio & Video: AMG Studios
Mtunzi : Peter Geredi Mwamba.
Usisahau Kulike, Kucomment na kushare na wengine Wabarikiwe. Amina
Karibu sana
No comments:
Post a Comment